• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MKOA WA KILIMANJARO UNAIHITAJI TASAF

Posted on: August 28th, 2018


Mkoa wa Kilimanjaro umetajwa kama mkoa unaouhitaji  zaidi mpango wa kunusuru kaya masikini unaosimamiwa na mfuko wa maendeleo ya jamii Tasaf ukilinganishwa na mikoa mingine.

Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya rais Utumishi na Utawala Bora  Mhe.Kapt.(Mst.) George Mkuchika baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa mpango wa kunusuru kaya masikini katika mkoa wa Kilimanjaro.

Mhe. Mkuchika amesema ufinyu wa ardhi katika mkoa wa Kilimanjaro unapelekea mwananchi masikini  mwenye nguvu na aliyetayari kujishughulisha hata kwa kilimo cha kujikimu hushindwa kufanya hivyo kwani kila kipande cha ardhi katika mkoa wa Kilimanjaro kinamilikiwa na mtu.

Kufuatia hali hiyo Waziri mkuchika amesema serikali inawaangalia kwa jicho la pekee watu wenye hali duni za kimaisha katika mkoa wa kilimanjaro kwani hawana fursa ya ardhi kama ilivyo katika mikoa mingine.

Mhe mkuchika amewataka waratibu wote wa Tassaf mkoani Kilimanjaro kuhakikisha kuwa kila mwananchi  mwenye sifa ya kunufaika na mpango huo anafikiwa na kunufaika kwa mujibu wa taratibu za Tassaf na uwezo wa mfuko.

Awali akitoa taarifa ya utekelezaji wa mpango huo mratibu wa Tasaf mkoa wa Kilimanjro Bw. Apolinary Seiya amesema Katika awamu zote kumi na tisa (19) za malipo kiasi cha Shilingi  Bilioni 21 zililipwa kwa  walengwa.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • Angalia Zote

Habari

  • MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA

    April 01, 2021
  • Viongozi Watakiwa Kusimamia Kilimo cha Kisasa

    March 05, 2021
  • Waziri Aweso Avunja Mkataba na Mkandarasi wa Mradi Mkubwa wa Maji

    December 25, 2020
  • Serikali Yarudisha Mali za Ushirika

    November 12, 2020
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Manispaa ya Moshi
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa