• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Rais Magufuli: Viwanda Suluhisho la Ajira

Posted on: October 22nd, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli  amesema sera ya uwekezaji kwenye viwanda ni moja kati ya suluhisho la tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini.

Akiongea na wananchi wa mji wa Moshi katika uzinduzi wa  kiwanda cha bidhaa za ngozi  cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd kilichopo katika eneo la gereza la Karanga Rais Magufuli amesema kiwanda hicho ni miongoni mwa mifano ya viwanda vinavyowanufaisha vijana katika kupata ajira.

Aidha Rais Magufuli amesema kiwanda hicho kitatoa ajira za moja kwa moja kwa vijana wapatao elfu tatau ambao kiwanda kitawaajiri kwa kufanya shughuli mbalimbali katika uzalishaji wa bidhaa hizo zitikanazo na  ngozi za mifugo.

 Rais Magufuli ameongeza kuwa mnyororo wa fursa za ajira kutokana na kiwanda hicho utaenda mbali kwani  wafanyabiashara za vyakula yaani mama lishe na baba lishe watapa soko la biashara kwa kuwauzia vyakula wafanyakazi wa kiwanda hicho.

Ameongeza kuwa  wafugaji wa mifugo wataongeza thamani ya mifugo yao kwani wataweza kuuza nyama na ngozi za mifugo na hatimaye kuongeza vipata vyao.

Mbali na makundi hayo, Rais Magufuli amesema uzalishaji wa bidhaa katika kiwanda hicho ambacho kina uwezo wa kuzalisha jozi za viatu milioni mbili  kwa mwaka utachochea ajira kwa watu watakaofanya kazi za  usambazaji  na uuzaji wa bidhaa za  zitakazolalishwa kiwandani hapo.

Kiwanda cha bidhaa za ngozi cha Karanga kinazalisha viatu, mikanda, mikoba, majaketi na pochi mbalimbali kwa kutumia malighafi za ngozi za mifugo.











Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • Angalia Zote

Habari

  • Waziri Aweso Avunja Mkataba na Mkandarasi wa Mradi Mkubwa wa Maji

    December 25, 2020
  • Serikali Yarudisha Mali za Ushirika

    November 12, 2020
  • Rais Magufuli: Viwanda Suluhisho la Ajira

    October 22, 2020
  • Rais Magufuli Asikitishwa Mradi wa Maji Kuchelewa

    October 20, 2020
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Manispaa ya Moshi
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa