• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

RC AAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAFANYABIASHARA.

Posted on: August 26th, 2017

Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira  ameahidi kushirikiana kwa karibu na jumumuiya za wafanyabiashara na wawekezaji mbalimbali  wa mkoa wa Kilimanjarokatika  kutatua kero zinazowakabili.

Mhe. Mghwira aliyasema hayo wakati akitoa hotuba ya kuahirisha kikao alichokiitisha kwa lengo la kukutana na  wafanyabiashara ili kujadiliana kwa pamoja juu ya changamoto na fursa za kibiashara zilizopo mkoani Kilimanjaro.

Ameongeza kuwa serikali bado inautazama mkoa wa Kilimanjaro kama miongoni mwa mikoa muhimu katika kukuza uchumi wa mkoa na  taifa kwa ujumla kwa kuzingatia fursa ulizonazo katika rasilimali watu yenye tabia ya kujituma katika shughuli mbalimbali za uzalishaji mali.

Aidha Mhe. Mghwira amewahakikishia wafanyabiashara  kuwa  hoja zao zote walizoziwasilisha katika kujadili fursa na changamoto zitafanyiwa kazi kwa kuzingatia uwezo na mamlaka za maamuzi.

Alifafanua kuwa baadhi ya hoja na changamoto zilizowasilishwa zinaweza kushughulikiwa katika ngazi za mkoa na halmashauri na zingine hususan zinazohusu sera na miongozo ya kitaifa zitawasilishwa katika wizara zinashushughulikia sekta za fedha, kilimo, biashara na maji.

Kuhusu upatikanaji wa mitaji Mhe. Mghwira amesema bado taasisi za kifedha hazijajielekeza katika kutoa mikopo ya uwekezaji na baadala yake zimekuwa zikitoa mikopo ya kibiashara ambayo mkopaji huwekewa masharti ya kuanza kurudisha mikopo hiyo ndani ya muda mfupi.

Mhe Mghwira  amezishauri taasisi hizo kuangalia uwezekano wa kutoa mikopo inayotoa muda wa kutosha kwa wakopaji kujipanga na kuweza kurejesha mikopo wakiwa wameshaitumia kuwaingizia faida.





Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • Angalia Zote

Habari

  • MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA

    April 01, 2021
  • Viongozi Watakiwa Kusimamia Kilimo cha Kisasa

    March 05, 2021
  • Waziri Aweso Avunja Mkataba na Mkandarasi wa Mradi Mkubwa wa Maji

    December 25, 2020
  • Serikali Yarudisha Mali za Ushirika

    November 12, 2020
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Manispaa ya Moshi
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa