• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

RC Atembelea Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Magereza

Posted on: February 27th, 2020

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Dkt. Anna Mgwira amefanya ziara kwenye gereza la karanga manispaa ya Moshi kukagua maendeleo  ya kazi ya ujenzi wa mradi wa kiwanda cha kutengeneza viatu na bidhaa zingine zinazotokana na ngozi.

Katika ziara hiyo Mhe. Dkt. Mghwira alipata fursa ya kuzungumza na uongozi wa gereza la Karanga pamoja na kutembelea majengo mbalimbali yanayojengwa katika eneo hilo la mradi.

Kwa upande wake Mkuu wa Gereza la Karanga, Mkaguzi wa Magereza  Rajab Igongi amesema kasi ya utekelezaji wa mradi huo imeongezeka zaidi kutokana kutatuliwa kwa changamoto zilizokuwa zikibili utekelezaji wa mradi huo.

Amezitaja changamo hizi kuwa ni pamoja na ufikishwaji wa fedha pamoja na mvua zilizokuwa zikinyesha na kupelekea kusuasua kwa ujenzi hapo awali.

Gereza la karanga kwa kushirikiana na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF wanajenga kiwanda cha kutengeneza viatu pamoja na bidhaa zingine zitokanazo na ngozi kitakachogharimu shilingi za kitanzania bilioni 9.6.

Mkaguzi wa Magereza Igongi ameongeza kuwa wananchi  wa mkoa wa kilimanjaro watanufaika kwa kupata ajira kwani kiwanda hicho kitaajiri wataalam mbalimbali ambao si askari kufanya kazi katika kiwanda hicho.

Adha Mkaguzi wa Magereza Igongi amessisitiza kuwa kiwanda hicho kitakapoanza kazi kitachangia mapato kwani ya nchi mamlakambalimbali  za kusasanya  mapato zitakusanya kodi kutokana na uzaisha wa kiwanda hicho.

Mradi huo ulianza mwezi Oktoba mwaka jana  utarajiwa kukamilika itakapofika mwezi Machi mwaka huu. unatajiwa kukamilika.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • Angalia Zote

Habari

  • MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA

    April 01, 2021
  • Viongozi Watakiwa Kusimamia Kilimo cha Kisasa

    March 05, 2021
  • Waziri Aweso Avunja Mkataba na Mkandarasi wa Mradi Mkubwa wa Maji

    December 25, 2020
  • Serikali Yarudisha Mali za Ushirika

    November 12, 2020
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Manispaa ya Moshi
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa