• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

SAME WATAKIWA KUBORESHA KAHAWA

Posted on: November 15th, 2019

Wananchi wa wilaya ya same wametakiwa kuchukua hatua za makusudi ili kuhakikisha wanalirejesha zao la kahawa ambalo kwa sasa wakulima wengi wameacha kulima kutokana na changamoto mbalimbali.

Akiongea na wananchi wa kijiji cha Vudee kata ya  Vudee wilaya ya  Same mkoani Kilimanjaro  Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjarao, Mhe. Anna Mghwira amemuagiza afisa tarafa na mtendaji wa kata kutoa taarifa muhimu za zao hilo ikiwa ni pamoja na idadi ya mashamba yanayolima kahawa, idadi ya wakulima na mahitaji ya miche ya kisasa ya kahawa.

Mbali na hilo Mhe. Dkt. Mghwira amewataka wataalam wa kilimo wilayani same kufanya utafiti kujua wakulima wa kahawa wanahitaji elimu gani ili waandaliwe mafunzo yatakayowawezesha  kufanya shughuli zao kwa mafanikio zaidi.

Mhe. Mghwira amesema wanachi wanatakiwa kuchangamkia fursa hiyo kwani nchi nyingi duniani zimethibitisha kuwa kahawa ya Tanzania ni kahawa bora na inafanya vizuri kwenye soko la dunia.

Aidha Mhe. Mghwira amewaponngeza wananchi wa Vudee kwa kuendeleza kilimo cha matuta ambacho ni muhimu kwa kuhifadhi rutuba na unyevu kwenye mashamba.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • Angalia Zote

Habari

  • MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA

    April 01, 2021
  • Viongozi Watakiwa Kusimamia Kilimo cha Kisasa

    March 05, 2021
  • Waziri Aweso Avunja Mkataba na Mkandarasi wa Mradi Mkubwa wa Maji

    December 25, 2020
  • Serikali Yarudisha Mali za Ushirika

    November 12, 2020
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Manispaa ya Moshi
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa