• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO

15 May 2025

SERIKALI  mkoani Kilimanjaro,  imelitaka kundi kubwa la vijana wenye umri  wa miaka 18 na zaidi na wenye kukaribia umri huo   kabla ya octoba  mwaka huu, kujitokeza kwa wingi katika kuboresha taarifa zao kwenye daftari la kudumu la mpiga kura ili kupata fursa ya kumchagua kiongozi wanaemtaka  kwa ustawi na maendeleo ya taifa hili.

Akizungumza mapema Mei 15 katika mkutano wake na wanahabari ofisini kwake, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu  amesema  zoezi la uboreshaji wa taarifa katika daftari la kudumu litaanza Mei 16 had Mei 22.

Amesema Mkoa wa Kilimanjaro  una vituo vya uboreshaji wa daftari  hilo 310 vilivyogawanyika  katika maeneo mbalimbali Siha 34, Mosh vijijini 64, Hai 31, Mwanaga 24, Manispaa 30, Rombo 56 na Same 71, vituo hivyo vipo ngazi ya kata, ingawa zipo kata nyingine kunavituo zaidi ya kimoja kutoka na ukubwa wa kata na geografia  ya eneo.

Aliongezea Mhe.Babu moja ya malengo ya uboreshaji wa daftari hilo ni kutoa nafasi  ya kujiandikisha  kupiga kura kwa wale wote wenye sifa za kupiga kura ambao hawajajiandikisha kwa sababu mbalimbali, hasa kundi la vijana  ili kuweza kupata kiongozi atakayeweza kuleta maendeleo.

Amesema hii ni fursa na haki ya kila mwananchi kuporesha taarifa zake  ikiwa alipoteza  kitambulisho,  kuhama eneo  hivyo amewatak kujitokeza.kwa wingi.

"Vijana kura yako ni chanzo cha mabadiliko ya kiuchumu kwa  Mkoa na Taifa kwa ujumla, Tume huru ya Uchaguzi, imetoa fursa kwa awamu ya pili kwa wananchi kujitokeze kufanya hivyo,"


Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • BASATA YAWANOA MAAFISA UTAMADUNI NA BIASHARA KILIMANJARO

    May 22, 2025
  • VIJANA NA WANAWAKE MSIKOPE BILA MALENGO

    May 15, 2025
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza wananchi kumsindikiza aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya katika safari yake ya mwisho.

    May 13, 2025
  • Mwili wa Hayati Cleopa D. Msuya waagwa katika viwanja vya CD Msuya wilayani Mwanga

    May 12, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa