• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Seksheni ya Afya na Ustawi wa Jamii

Seksheni hii inajumuisha na hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza, lengo la seksheni hii ni kusaidia au kuwezesha utoaji wa huduma bora za Afya za kinga, matibabu na maendeleo ya huduma za Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkoa. Seksheni hii inaongozwa na Katibu Tawala Msaidizi ambaye pia ni Mganga Mkuu wa Mkoa, ambaye anawajibika kwa Katibu Tawala wa Mkoa.


Idara ndogo ndogo ndani ya Afya

Elimu ya Afya

Huduma za Tiba (Magonjwa ya ndani, Watoto, wajawazito, Upasuaji na Mifupa, Huduma za mionzi, Maabara na Mortuary)

Huduma za Kinga (Huduma za Afya ya mama na mtoto na Huduma za kuzuia magonjwa ya kuambukiza)

Utengemao (Rehabilitation)

Ustawi wa Jamii

Afya ya Mazingira

Majukumu ya Seksheni ya Afya na Ustawi wa Jamii

Majukumu ya Idara/Seksheni

Majukumu ya seksheni/sehemu ya Afya na Ustawi wa Jamii:

Kuratibu na kushauri juu ya utekelezaji wa wa sera za Afya katika Mkoa

Kuratibu masuala ya Afya na Ustawi wa Jamii katika Mkoa

Kusimamia utoaji sahihi wa huduma za Afya zinazotolewa na hospitali/vituo vya Umma na sekta binafsi katika Mkoa

Kuzijengea uwezo Mamlaka za Serikali za Mitaa katika utoaji wa huduma za Afya

Kutoa ushauri wa kitaalamu katika uandaaji wa mipango ya upambanaji/uzuiaji wa tatizo la Virusi/UKIMWI (HIV/AIDS)

kutoa ushauri wa kitaalamu juu ya uendeshaji wa shughuli zinazohusiana na masuala ya Virusi/UKIMWI (HIV/AIDS) katika Mkoa

Kutoa huduma za Afya/msaada unaohitajika wakati wa milipuko ya magonjwa katika Mkoa

Kutoa huduma za kliniki na matibabu kwa wagonjwa wa ndani na nje wanaoletwa kutoka vituo vya Afya/hospitali za mamlaka za serikali za mitaa

Kutoa huduma za kitaalamu (utaalamu wa kubobea) za matibabu

Kutoa/Kusaidia huduma za kitaalamu na msaada unaohitajika kwa vituo vya Afya na Hospitali za Mamlaka za Serikali za Mitaa wakati wa milipuko ya magonjwa yakuambukiza

Kutoa huduma za rufaa za maabara na vipimo

Kuratibu upatikanaji wa madawa/vifaa tiba kwa ajili ya hospitali


Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • SERIKALI KUTENGA BILIONI 7 KUTEKELEZA UJENZI WA BARABARA YA MABOGINI - KAHE

    May 04, 2025
  • RC KILIMANJARO ATAKA WATUMISHI WA UMMA KUTII SHERIA NA KANUNI ZA KAZI ILI KUONGEZA KAZINI

    May 01, 2025
  • Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Bw. Kiseo Nzowa, akihutubia wananchi na viongozi mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.

    May 01, 2025
  • MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO ATOA SIKU 14

    April 26, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa