• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

FRORESTA NI MFANO WA KUIGWA - RC MGHWIRA

Posted on: October 31st, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Dkt. Anna Mghwira ameyataka mashirika mengine yanayoshughulika na utunzaji wa mazingira kujifunza mbinu na maarifa bora ya kutunza mazingira kutoka shirika la Floresta Tanzania kwa  juhudi za utunzaji wa mazingira hususan katika kupanda miti.

Akiongea na wananchi wa kijiji cha Mungushi kata ya Masama Kusini wilayani Hai waliokusanyika katika shughuli ya uzinduzi wa programu ya siku thelasini ya upandaji wa miti Dkt. Mghwira amesma  tuzo ya utunzaji bora kimkoa waliyoipata shirika la Floresta walistahili kuipata kutokana na juhudi na kujituma kwa shirika hilo katika kutunza mazingira

Aidha Mhe. Mkuu wa Mkoa amelitaka shirika hilo kuongeza juhudi zaidi kwa  kupanda miti katika maeneo ya barabara kuu inayounganisha mkoa wa Kilimanjaro na mikoa ya jirani. Akitolea mfano eneo la kuingilia na linalozunguka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA, Dkt. Mghwira amesma ni miongoni mwa maeneo yanayohitaji juhudi zaidi katika kupanda miti na kuitunza ili kulifanya eneo hilo liwe la kuvutia wageni wanapoingia mkoani Kilimamnjaro.

Dkt. Mghwira amekumbusha kuwa hadi kufikia mwezi disemba mwaka huu kazi ya kuotesha miti kuanzia wilaya ya  Hai hadi Same iwe imeshakamilika ili nguvu na maarifa zaidi yaelekezwe kwenye kuitunza miti hiyo.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Floresta Tanzania Bwana Richard Mhina amemshukuru Dkt. Mghwira kwa kuunga mkono shughuli za shirika hilo kwa kuwapa ushirikiano wa mara kwa mara katika kuhakikisha kuwa kazi za shirika la Floresta zinatekelezwa katika mkoa wa Kilimanjaro.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA NA WANAWAKE MSIKOPE BILA MALENGO

    May 15, 2025
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza wananchi kumsindikiza aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya katika safari yake ya mwisho.

    May 13, 2025
  • Mwili wa Hayati Cleopa D. Msuya waagwa katika viwanja vya CD Msuya wilayani Mwanga

    May 12, 2025
  • SERIKALI KUTENGA BILIONI 7 KUTEKELEZA UJENZI WA BARABARA YA MABOGINI - KAHE

    May 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa