• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MWENGE WA UHURU MKOANI KILIMANJARO

Posted on: June 6th, 2022

Mkoa wa Kilimanjaro umepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoani Tanga Juni, 6 katika Kijiji cha Bendera, Kata ya Bendera Wilayani Same.

Mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Kilimanjaro unatarajia kutembelea, kufungua/kuzindua na kukagua jumla ya miradi 38 ya maendeleo ikiwa na thamani ya Tshs. 13,670,634,422.60 hadi kukamilika katika halmashauri zote saba za Mkoa.

Akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoani Tanga, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Stephen Kagaigai amesema miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru imegusa katika sekta mbalimbali ikiwemo Elimu itakua miradi  9, Afya miradi 10, kwa upande wa Maji na Utunzaji mazingira miradi itakuwa 6, katika sekta ya Barabara na pamoja na Madaraja miradi itakuwa  6, vijana miradi 5, na miradi mengineyo itakuwa 2.

Aidha, katika operesheni ya zoezi la Anuwani za makazi  kwa Mkoa wa Kilimanjaro hadi kufikia mwezi Mei, 2022 jumla ya anuwani 421,970 zimesajiliwa sawa na asilimia 100.45 ya lengo la kusajili anuwani 420,067.  Jumla ya barabara 13,205 zimetambuliwa na kupewa majina ikilinganishwa na malengo ya barabara 14,896 yaliyokuwa yamewekwa hapo awali.

Kwa upande wa zoezi la Sensa Mkoa umepokea jumla ya maombi ya watu 27,446 kwa ajili ya ajira ya Sensa kwa Makarani, wasimamizi wa maudhui na wasimamizi wa TEHAMA na hii ni kutokana na tangazo lililotolewa na Serikali la kuwasilishwa kwa maomib hayo mwezi 5,2022 na kumalizika 19,mei 2022.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • BASATA YAWANOA MAAFISA UTAMADUNI NA BIASHARA KILIMANJARO

    May 22, 2025
  • VIJANA NA WANAWAKE MSIKOPE BILA MALENGO

    May 15, 2025
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza wananchi kumsindikiza aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya katika safari yake ya mwisho.

    May 13, 2025
  • Mwili wa Hayati Cleopa D. Msuya waagwa katika viwanja vya CD Msuya wilayani Mwanga

    May 12, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa