• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

RAS-NZOWA AZINDUA MAFUNZO YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA KILIMANJARO

Posted on: January 28th, 2025

Katibu Tawala Mkoa Bwn.Yusuf Nzowa ,amefungua mafunzo kwa watoa huduma ya msaada wa kisheria ya Mama Samia (MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN) ikiwa na lengo la kutoa elimu kwa makundi mbalimbali pia kwa kufanya mikutano ya hadhara kwa kushirikiana na viongozi wa kata,mtaa, na ngazi za kijamii kwa Halmashauri zote mkoani hapa.

Amefanya ufunguzi huo Januari 28,2025 katika ukumbi wa mkoa , ambapo amewataka wataalamu hao wa Sheria  ya Mama Samia (MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN )  kuyapokea mafunzo hayo kwa umakini mkubwa

“Nawasisitiza washiriki wote kuwa makini kwenye mafunzo haya ambayo wataalamu wanayatoa ili semina hii ikawe na mafanikio makubwa kwa wananchi,pia natoa wito kuwaomba kuwahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika kampeni itakayofanyika katika viwanja vya vyumbi vya stendi kuu ya Mabasi ya manispaa ya Moshi ambapo itazinduliwa na Mhe.Waziri wa Katiba na Sheria Dkt.Damas Daniel Ndumbaro ”Amesema Nzowa

Aidha amesema kuwa mlengwa hasa katika kampeni hiyo ni mwananchi wa kawaida ambaye hana uwezo wa kujigharamia na kusimamia masuala ya kisheria pia kuweka utaratibu ambao utawasaidia wananchi kuondokana na changamoto mbalimbali za kisheria

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Huduma za Msaada wa Kisheria kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Bi. Ester Msambazi amesema wanatarajia timu ya wataalamu ambao wanapata mafunzo watashiriki kutoa vema elimu pamoja na kutoa ushauri ya kisheria kwa wananchi

“ Tutatoa elimu kwa makundi mbalimbali tutapita shuleni, kwenye nyumba za ibada pia tutatoa ushauri wa kisheria kwa wale wote ambao watakuwa na maswala mbalimbali ya kisheria hivyo kila Halmashauri itakuwa na wakili wa kujitegemea wakili wa kiserikali wote watashirikiana katika kuandaa nyaraka za kisheria na kufanya uwakilishi mahakamani kwa wananchi ambao wanakesi au wanaotarajia kufungua mashauri mahakamini”Amesema Msambaza

Sambamba na hayo kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN) linatarajiwa kuzinduliwa Januari 29,2025 hivyo kufanyika kwa siku tisa mkoani hapa

Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA NA WANAWAKE MSIKOPE BILA MALENGO

    May 15, 2025
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza wananchi kumsindikiza aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya katika safari yake ya mwisho.

    May 13, 2025
  • Mwili wa Hayati Cleopa D. Msuya waagwa katika viwanja vya CD Msuya wilayani Mwanga

    May 12, 2025
  • SERIKALI KUTENGA BILIONI 7 KUTEKELEZA UJENZI WA BARABARA YA MABOGINI - KAHE

    May 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa