• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

RC-BABU AMEMWAPISHA MKUU WA WILAYA YA MOSHI MKOANI KILIMANJARO

Posted on: January 27th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Babu amemwapisha mkuu wa wilaya ya moshi  Mhe.Geofrey Mnzava ambaye ameteuliwa  na Dakt.Rais Samia Suluh Hassan  kuwa mkuu wa wilaya hiyo.

Amefanya uwapisho huu mapema Januari 27 ,2025 katika ukumbi wa mkoa ,Mhe.Babu amemsisitiza mkuu huyo wa wilaya kusimamia misingi  ya haki ,utawala wa sheria na maadili katika kutekeleza majukumu yake

“kasimamie Amani na Usalama wa Wananchi na mali zao nenda ukashirikiane na vyombo vya usalama kupitia kamati ya usalama katika kufanya maamuzi makubwa ya wilaya aidha simamia vyema udhibiti wa matumizi ya fedha za Serikali na kuzuia ubadilifu ,ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua wale wote waliokiuka taratibu .hili lifanyike kwa kuzingatia sheria na miongozo iliyopo pamoja na kanunu” Amesema Babu

Aidha Mhe. Babu amemtaka kiongozi huyo kuzielewa kero za wananachi na kuzitatua kwa weledi ,uadilifu na bila ubaguzi wala upendeleo wowote

“kama kiuongozi unayo kazi ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi katika maeneo yako ya kiutawala hivyo nitoe rai kwako kwenda kujipanga vizuri kwa kushirikiana na katibu tawala wilaya ,mkurugenzi wa halmashauri na wakuu wa taasisi zilizo katika wilaya yako kuhakikiasha kwamba madawati ya kusikiliza kero za wananchi yanakuwepo na yanafanya kazi”

Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Moshi Mhe.Geofrey Mnzava  amemshukuru Dkt.Rais Samia Suluhu Hassan  kwa kumchagua kuwa mkuu wa wilaya hiyo, pia ametaja vipaumbele atakavyoendanavyo katika uongozi wake

“Nitahakikisha hali ya ulinzi na usalama zinaendelea kuimarika nitashirikiana na viongozi wenzangu kutimiza jukumu hilo, na kuhakikisha mapato ya halmashauri yanaelekezwa kwenye miradi ya maendeleoa ,nitasimamia kikamilifu  miradi ya maendeleo  pia nitahakikisha kero za wananchi zinatatuliwa kwa wakati” Amesema Mnzava

Kwa upande wake Katibu tawala Mkoa  Bwn .Yusuf Nzowa amempongeza Mhe.Geofrey Mnzava kwa kukubali uteuzi huo hatimae kushiriki katika tukio la uapisho baada ya kuteuliwa na Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano Wa Tanzania kushika wadhifa huo mkuu katika wilaya hiyo

Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA NA WANAWAKE MSIKOPE BILA MALENGO

    May 15, 2025
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaongoza wananchi kumsindikiza aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya katika safari yake ya mwisho.

    May 13, 2025
  • Mwili wa Hayati Cleopa D. Msuya waagwa katika viwanja vya CD Msuya wilayani Mwanga

    May 12, 2025
  • SERIKALI KUTENGA BILIONI 7 KUTEKELEZA UJENZI WA BARABARA YA MABOGINI - KAHE

    May 04, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa