• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

UZINDUZI WA KLINIKI YA SHERIA MKOANI KILIMANJARO

Posted on: January 21st, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amezindua rasmi Kliniki ya Sheria bila malipo itakayosaidia kutatatua kero na migogoro ya Wananchi Mkoani hapa.

Amezindua uzinduzi huo januari 22,2025 katika ukumbi wa mkoa ambapo amesema lengo ni kufatiwa na Kliniki ya Sheria bila malipo kwa wananchi inayofanyika kwa ushirikiano baina ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Kamati ya Ushauri wa Kisheria ya Mkoa wa Kilimanjaro.

Aidha Huduma hizo zitatolewa katika Viwanja vya Stendi ya Vumbi jirani na Stendi Kuu ya Mabasi Moshi Mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 21 hadi 27 Januari 2025.

Akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa Kliniki hiyo Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ameipongeza na kuishukuru Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuuchagua Mkoa wa Kilimanjaro na kuja kutoa huduma ya Kliniki bure kwa wananchi wa Kilimanjaro.

"Tunaishukuru Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuja kutoa huduma hii bure kwa wananchi wetu hii inaonyesha namna Ofisi hii ilivyojikita kusogeza huduma kwa wananchi kwenye maeneo mbalimbali nchini" Amesema  Babu

Hata hivyo, Mhe. Babu ameeleza kuwa Kliniki hiyo itasaidia kupunguza migogoro ya Wanachi dhidi ya Serikali, zitawezesha Mawakili wa Serikali kusimamia Utawala wa Sheria, pia zitawasaidia Mawakili wa Serikali kushirikiana kwa ukaribu na Wadau pamoja Wananchi katika kutatua  migogoro hiyo.

Pia ametoa wito kwa Wananchi  kushiriki kwa wingi katika Kliniki hiyo ili wapate suluhu ya changamoto  mbalimbali za kisheria zinazowakabili.

Awali akizungumza wakati wa kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Wakili wa Serikali kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bi.Tamari Mndeme amesema Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imejipanga vyema kutoa huduma za Kisheria bure kwa wananchi kupitia Kliniki hiyo.

‘’Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali iko tayari kuwahudumia Wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro na tuna wataalamu wa kutosha tunaamini kupitia Kliniki hii changamoto mbalimabali za Wananchi zitapata ufumbuzi’’Amesema Bi.Tamari.

Sambamba na hayo,kliniki hii imelenga kuwafikia wananchi wengi hasa wale waliopo  nje ya mji katika mkoa huu ili kuwawezesha kupata huduma za kisheria bila kutumia gharama.

Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO ASISITIZA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANANCHI WILAYANI HAI

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA SIHA YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI BORA WA MAPATO

    June 17, 2025
  • BASATA YAWANOA MAAFISA UTAMADUNI NA BIASHARA KILIMANJARO

    May 22, 2025
  • VIJANA NA WANAWAKE MSIKOPE BILA MALENGO

    May 15, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa