Posted on: June 11th, 2021
Wananchi Wilayani Siha wametakiwa kuwekeza kwenye kilimo ambacho kitaleta tija kwa wananchi sambamba na kutunza mazingira.
Akizungumza na Wananchi baada ya kutembelea shamba la Karanga ...
Posted on: June 7th, 2021
Wananchi wa wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro wametakiwa kuendelea kuiUnga mkono serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuitunza na kuitumia vema miradi ya maendeleo inayotekElezwa na...
Posted on: June 6th, 2021
Halmashauri ya wilaya Same mkoani Kilimanjaro imetakiwa kukamilisha ujenzi wa soko la kazndo ya barabara ili kuwaewzesha wananchi hususan wakulima na wafanyabiashara ndogondogo kunufaika na mradi huo....