Posted on: November 29th, 2019
Wataalam wa kilimo wilayani hai wametakiwa kuwafundisha wananchi kuongeza thamani ya mazao ili kuwawezesha kuuuza mazo kwa bei zitakazowaletea faida.
Akizungumza na wananchi wa ki...
Posted on: November 15th, 2019
Wananchi wa wilaya ya same wametakiwa kuchukua hatua za makusudi ili kuhakikisha wanalirejesha zao la kahawa ambalo kwa sasa wakulima wengi wameacha kulima kutokana na changamoto mbalimbali.
Akiong...
Posted on: November 7th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Dkt. Anna Mghwira amewataka wanawake wote nchini kuwa majasiri na kujiamini wanapokuwa kwnye shughuli za maendeleo ili kuahakikisha kuwa maendeleo yanapatikana k...