Posted on: February 5th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Dkt. Anna Mghwira ameuagiza uongozi wa Wakala wa Barabara nz Mjini na Vijini, TARURA mkoni Kilimanjaro kuhakikisha kuwa barabara zote ndani ya mkoa zinapitika.
Akizu...
Posted on: February 3rd, 2020
Serikali mkoani Kilimanjaro imesema haitafunga wala kuzuia shughuli za dini yoyote ndani ya mkoa huo.
Msimamo huo umetangazwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Dkt. Anna Mghwira alipotoa salamu z...
Posted on: January 29th, 2020
Halmashauri za wilaya na manispaa katikia mkoa wa Kilimanjaro zimetakiwa kufanya kazi kwa umakini na weledi ili kuepukana na tatizo la hati chafu.
Rai hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa...