Posted on: September 26th, 2018
Vita dhidi ya rushwa imewezesha serikali kuokoa jumla ya shilingi milioni mia moja sitini na sita elfu na mia saba katika mwaka wa fedha 2017/2018.
Akiongea baada ya kupokea mwenge wa uhur...
Posted on: September 13th, 2018
Wanaume Mkoani Kilimanjaro wamepongezwa kwa kuitikia wito wa kampeni ya Furaha Yangu na kujitokeza kwa wingi katika kampeni ya upimaji wa virusi vya UKIMWI.
Pongezi hizo zimetolewa na M...
Posted on: September 5th, 2018
Watumishi wa umma katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kutumia kwa usahihi huduma na vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambavyo ni mali ya serikali.
Akio...