Posted on: July 2nd, 2025
Serikali imeendelea kuboresha miundombinu ya shule za msingi nchini, ambapo shule ya msingi Kwaktau iliyopo katika Wilaya ya Rombo imepata neema ya ujenzi na ukarabati mkubwa wa miundombinu ya elimu.
...
Posted on: July 2nd, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2025, Ndg. Ismail Ussi ametoa wito kwa mkandarasi anayetekeleza ujenzi wa daraja la Mandaka Uzungo lililopo wilayani Mwanga kuhakikisha kazi...
Posted on: July 1st, 2025
WANANCHI wa kijiji cha Lang'ata bora wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro wameondokana na changamoto ya matumizi ya maji yasiyo safi na Salama baada ya serikali kutekeleza mradi wa kisima cha maji safi....