Posted on: July 16th, 2025
SIKU saba za nderemo, shamrashamra, mshike mshike, na mapokezi ya kihistoria zilishuhudiwa mkoani Kilimanjaro kuanzia Juni 28 hadi Julai 5 mwaka huu, wakati Mwenge wa Uhuru wa mwaka 2025 ulipowasili n...
Posted on: July 13th, 2025
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuendelea kuihimiza jamii kuzingatia msingi ya maadili na kuepuka mienendo iliyo kinyume na tamaduni, mila na desturi ...
Posted on: July 5th, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amesema mwenge wa uhuru umekimbizwa kilomita 895, umekagua miradi 52 yenye thamani ya Bilion 84. Ameyasema hayo Julai 5,2025 wakati akiu...