Mkoa wa Kilimanjaro ulianzishwa rasmi mwaka 1963 kwa Tangazo la serikali Na.450 la mwaka huo ukiwa na wilaya za Kilimanjaro na Pare.
Kabla ya Uhuru Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa ni sehemu ya Jimbo la kaskazini (Nothern Province) lililokuwa linaundwa na wilaya za Arusha na Mbulu, Wakati wilaya ya Pare ilikuwa sehemo ya jimbo la Tanga (Tanga Province).
Wakati nchi yetu inapata Uhuru tarehe 9/12/1961 Mkuu wa jimbo la Kaskazini (Provincial Commissioner ) alikuwa Mhe.PC Edward Barongo ambaye aliongoza hadi 1963 na kufuatiwa na Mhe. Peter Kisumo, Mkuu wa Mkoa wa kwanza wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Florida Street
Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi
Simu: 027 2758248/027 2751
Mobile:
Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz
Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa