• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

Posted on: June 28th, 2025

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2025, Bw. Ismail Ussi, ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa soko jipya la Mbuyuni lililopo katika Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Ujenzi wa soko hilo umegharimu kiasi cha shilingi bilioni zaidi ya bilioni 2 na unatarajiwa kuboresha mazingira ya biashara wa Manispaa na maeneo ya jirani.

Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Bw. Ussi amepongeza juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi, hususan wafanyabiashara waliopoteza maeneo yao ya kufanyia biashara baada ya soko la awali kuteketea kwa moto.


Awali akisoma taarifa ya ujenzi wa Soko hilo Afisa Biashara wa Manispaa ya Moshi Bw.Prosper Msele amesema ujenzi mradi huo umegharimu zaidi shilingi bilioni 2 ambapo ujenzi huo unatekelezwa kwa awamu mbili.

Aidha, wafanyabiashara wa soko hilo wameeleza kufarijika na hatua hiyo ya ujenzi mpya, wakimshukuru Rais Dkt. Samia kwa kusikia kilio chao na kuchukua hatua za haraka kuhakikisha wanarejea katika shughuli zao katika mazingira bora na salama.

Soko hilo linatarajiwa kuwa na miundombinu ya kisasa, ikiwa ni pamoja na vizimba vya biashara, vyoo vya kisasa, sehemu ya kuhifadhia mizigo na maeneo ya huduma za kijamii, hivyo kuongeza tija katika sekta ya biashara ndani ya Manispaa ya Moshi.

Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO ASISITIZA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANANCHI WILAYANI HAI

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA SIHA YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI BORA WA MAPATO

    June 17, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa