• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

Posted on: June 28th, 2025

Mkoa wa Kilimanjaro umepokea Mwenge wa Uhuru leo Juni 28,2025  Kutoka Mkoa wa Kaskazini Pemba katika uwanja wa ndege wa Moshi Manispaa ya Moshi ambapo  utapata fursa ya kupitia jumla ya miradi 52 ambayo inapatikana katika Halmashauri zote saba za Mkoa.  Katika miradi hiyo; 20 ni ya kuwekewa Mawe ya Msingi, Miradi 22 ni ya Kuzinduliwa, Miradi 10 ni ya Kutembelewa yenye thamani ya bilioni 84.


Akisoma taarifa ya Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amesema Mwenge wa uhuru utapata fursa ya kuona na kutembelea juhudi mbalimbali zinazofanywa na vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye walemavu katika kuzalisha mali ili waweze kujiendeleza kiuchumi, uhamasishaji wa matumizi safi na salama ya nishati mbadala na pia utazindua klabu za kupambana na Rushwa shuleni.

Hata hivyo, Miradi yote ya Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2025 imegusa sekta zote zikiwemo, Afya miradi 8, Barabara na madaraja miradi 7, Elimu miradi 11, Maji miradi 7, Nishati salama miradi 3, Vijana Miradi 7 na miradi ya kijamii 9.

Mhe. Babu amesema  kuwa, Mwenge wa Uhuru utakapokuwa unakimbizwa hapa Mkoani utaendelea kuimarisha umoja na mshikamano miongoni mwa Wanakilimanjaro kwa maslahi mapana wa maendeleo ya Mkoa na Taifa letu kwa ujumla.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mubaruku Khatib amesema viongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa walifanya kazi kubwa ya kuweka mawe ya msingi, kuzindua na kutembelea miradi ya maendeleo  pia walishiriki katika zoezi la ugawaji la mitungi ya gesi 100

Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • KATIBU TAWALA MKOA WA KILIMANJARO ASISITIZA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KWA VIKUNDI VYA WANANCHI WILAYANI HAI

    June 18, 2025
  • HALMASHAURI YA SIHA YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI BORA WA MAPATO

    June 17, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa