• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Epukeni Hati Chafu - RAS

Posted on: January 29th, 2020

Halmashauri za wilaya na manispaa katikia mkoa wa Kilimanjaro zimetakiwa  kufanya kazi kwa umakini na weledi  ili kuepukana na tatizo la hati chafu.

Rai hiyo imetolewa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Khatib Kazungu wakati wa kufungua mafuzo ya  maandalizi ya mipango na bajeti za halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/21 pamoja na matumizi ya mifumo kwa maafisa wa halmashauri.

Dkt. Kazungu amesema endaapo washiriki wote wa mafunzo watashiriki kikamilifu katika mafunzo hayo maboresho yataonekana  kwenye  kuingiza takwimu sahihi za mapato kwa mfumo wa ukusanyaji wa mapato kwa njia ya kielektroniki  yaani  LGRCIS pamoja na kuandaa taarifa za robo mwaka.

Aidha  Dkt. Kazungu  amefafanua kuwa mafunzo hayo yatawajengea uwezo maafisa manunuzi katika kusimamamia mfumo wa  kusimamia manunuzi kwa njia ya kielektroniki wa TANePs pamoja na maafisa mipango kuongezewa uwezo wa kuandaa  bajeti za halmashari  kwa ufanisi.

Sekretarieti ya mkoa wa kilimanjaro kupitia seksheni ya usimamizi wa serikali za mitaa imeandaa mafunzo ya siku mbili ya  maandalizi ya mipango na bajeti za halmashauri kwa mwaka wa fedha 2020/21 pamoja na matumizi ya mifumo kwa maafisa wa halmashauri.

Akitoa shukrani kw Katibu Tawala wa Mkoa Kilimanjaro Dkt. Khatib Kazungu mwenyekiti wa washiriki wa mafunzo hayo Bw. David Rubibira amemuahidi Dkt. Kazungu kuwa washiriki wote watashiriki kikamilifu kama alivyoelekeza.





Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA MKOPO WA SERIKALI

    June 29, 2025
  • WEKEZENI KWENYE MIRADI KUONGEZA AJIRA

    June 29, 2025
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa