• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

WEKEZENI KWENYE MIRADI KUONGEZA AJIRA

Posted on: June 29th, 2025

June 29 mwaka huu, mwenge wa uhuru ulikagua miradi nane  yenye thamani  bilion 1.9

Katika miradi hiyo, Mwenge umeridhishwa na mradi wa vijana wa win  youth  group  wenye thamani ya milioni 40 kutoka katika  mkopo wa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu uliotolewa na halimashauri.

Akisoma taarifa ya Mradi huo,  katibu wa kikundi hicho Flavia Tengia alisema  walipokea milion 40 kutoka halmashauri kwa miradi  miwili ukiwemo wa kusindika siagi ya karanga  na mradi wa stationary lenye lengo la kuboresha uchumi kwa vijana na tayari wamesharesha milion nane, alisema wametoa ajira kwa vijana 13 na wanatarajia kuendelea kutoa ajira hizo  kutoka na uchumi kwa kupata masoko zaidi ndani na nje ya nchi.

Akizindua mradi huo kiongozi wa mbio za mwenge  kitaifa Bw. Ismail Ali Ussi aliridhishwa na mradi huo na kuwataka  viongozi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanasajili kikundi hicho kwenye mfumo wa Nest  kwa lengo la kufunguliwa ndani na nje ya nchi.


Alisema kikundi hicho kimeonyesha   namna ambavyo serikali ya Dkt. samia  Suluhu Hassan  inaleta umahiri katika kutokomeza umaskini kwa vijana na kuongeza ajira.

Aidha amewataka  vijana kujitokeza kwa wingi katika kuhakikisha  wanachangamkia fursa za mikopo kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu  katika kuanzisha na kupanua biashara zao.

Amesema,  Hii ni nchi pekee inayowajali wananchi wake hasa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ili waweze kujiajiri nakuajiri wengine.


Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA MKOPO WA SERIKALI

    June 29, 2025
  • WEKEZENI KWENYE MIRADI KUONGEZA AJIRA

    June 29, 2025
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa