• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA MKOPO WA SERIKALI

Posted on: June 29th, 2025

Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Ismail Ali Ussi amewaataka wawekezaji kujitokeza katika kuwekeza kwenye miradi mbalimbali  ili kuongeza ajira  na kukuza uchumi wa nchi.

Ameyasema hayo leo, June 29 wakati wakuzindua kituo cha mafuta cha  Kifaru Oil Investment  Company  LTD (Koil) kilichopo kata ya Kimochumi wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro chenye gharama  milion 520.

Alisema kuwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan moja ya ahadi zake kwa wananchi ni kuwaruhusu wawekezaji wa ndani pamoja na wanje kuja kuwekeza nchini ambapo hapa tunamuona mwekezaji mzalendo ambaye ameamua kuiunga mkono Serikali  

"Huyu mwekezaji wa kituo hiki cha mafuta ni mzalendo na mzawa wa moshi na ameonyesha upendo wake kwa serikali juu ya kuwekeza katika Taifa letu hivyo anastahili pongezi kubwa kwa hatua ya kuwekeza" alisema Ussi.

Alisema kuwa, wananchi wanahitaji huduma ya usafiri ambapo usafiri huo unahitaji mafuta na eneo hilo alilojenga kituo cha mafuta ni eneo la kimkakati katika uwekezaji wa mafuta.

Kiongozi huyo wa Mwenge alisema kuwa, uwekezaji huo unaleta faraja kubwa kwa Halmashauri ya Moshi kwani itaendelea kukua na kupitia uwekezaji kama huu itapelekea kupanda na kuwa Manispaa na hatimaye kuwa Jiji ambapo ndio matarajio ya Viongozi pamoja na Rais Dkt. Samia.

Ussi alitumia nafasi hiyo kuwaomba kama wapo wawekezaji wengine ambao wanajihisi wanaweza kuwekeza jambo lolote ndani ya Halmashauri ya Moshi wajitokeze kwani Dkt. Samia ameshatoa ruhusa.

Aliwataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono wawekezaji kwani wamewekeza fedha nyingi ambazo zinahitajika kuzalisha na kuipongeza kampuni ya Kifaru Oil Investment  Company  LTD (Koil) kwa kuuza mafuta safi.

Aidha alimtaka Mwekezaji huyo kutoishia kwenye sheli na kama wanahisi wanamradi mwingine ambao wanahitaji kuwekeza Ofisi ya Mkuu wa wilaya ipo wazi, na ya Mkurugenzi ipo wazi wataendelea kuwapokea.

"Kama mtahitaji maeneo ambayo mnahisi ni eneo la Serikali lakini mnaweza kuwekeza kwa jambo lolote nendeni kwa mkuu wa wilaya mwambieni naamini atawapeni maeneo hayo ili muweze kuwekeza" alisema Ussi.

Akisoma  risala kwa niaba ya Mkurugenzi  Suleman Mfinanga, Meneja wa Kampuni, Hassan Mfinanga alisema kituo hicho  kilianza 2023 na ulikamilika  kwa asilimia 100 kwa mwaka 2024  kwa ujazo wa lita 40,000.


Aidha aliishukuru serikali ya awamu ya sita  inayoongozwa na Dk  Samia Suluhu Hassan  kwa kuendelea kutuwesha wafanyabiashara  kufanya biashara zetu kwa utulivu dezeli  na petrol lita

Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA MKOPO WA SERIKALI

    June 29, 2025
  • WEKEZENI KWENYE MIRADI KUONGEZA AJIRA

    June 29, 2025
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa