• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

KILIMANJARO YAPONGEZWA KWA UTOAJI WA CHAKULA SHULENI

Posted on: September 28th, 2018

Serikali na wananchi wa Mkoa wa Kilimanjarowamepongezwa kwa  kushika nafasi ya pili kitaifa katika utoaji wa huduma chakula kwa wanafunzi shuleni.

Pongezi hizo zimetolewa na Kiongozi wa Mbio za mwenge wa uhuru kitaifa Bw. Charles Kabeho baada ya kuweka jiwe la msingi katika shule ya sekondari ya wasichana Machame iliypo wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Kabeho amengeza kuwa utoaji wa chakula  kwa wanafunzi una faida kubwa hususani kupunguza utoro na kuongeza ufaulu.

Aidha kabeho amewakumbusha wazazi kuwa sera ya utoaji wa elimu bila malipo unaotekelezwa na  serikali haiondoi wajibu wa mzazi na mlezi katika kumgharamia mtoto mahitaji yake mengine ya elimu kama vile sare, madaftari, viatu pamoja na chakula.

Kabeho amewaasa wazazi na walezi kuheshimu makubalino  wayoweka hususan kweny taratibu wanazojiwekea katika kuchangia chakula cha watoto.

Amefafanua kuwa suala la kuchangia chakula kwa ajili ya watoto ni hiari lakini mara makubaliano yanapofikiwa na wazazi na walezi kwa umoja wao kila mmoja anawajibika kutekeleza makubaliano hayo.

Mkoa wa njombe umeshika nafasi ya kwanza katika utoaji wa huduma ya chakula kwa wanafunzi shuleni.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA MKOPO WA SERIKALI

    June 29, 2025
  • WEKEZENI KWENYE MIRADI KUONGEZA AJIRA

    June 29, 2025
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa