• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MADEREVA WA SERIKALI WANAOKIUKA SHERIA ZA BARABARANI WATIWE MBARONI,RC-BABU

Posted on: January 25th, 2025

Mkuu Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Nurdin Babu amemwagiza Mkuu wa Kitengo cha usalama barabarani mkoani hapa(RTO) Nassoro Sisiwaya kuwachukulia hatua kali baadhi ya madereva wa serikali wanaokiuka sheria za barabarani.

Akizungumza wakati akifungua kikao cha Madereva  kilichofanyika Januari 25,2025 katika Manispaa ya Moshi Mhe.Babu amesema

"Ndugu zangu nyie ni madereva wa serikali Katibu wenu amesema mnatii sheria za barabarani lakini sio kweli,kuna baadhi yenu amfuati alama za usalama barabarani mnaendesha magari kwa kasi kubwa sasa namwagiza RTO yuko hapa dereva yeyote wa serikali atakae bainika anaendesha gari kwa kasi bila kutii sheria za barabara akamatwe na achukuliwe hatua".

Aidha ameendelea kuwasisitiza madereva hao kuwa mfano mzuri wa kuigwa kwenye jamii kwani ni watumishi wa Umma hivyo wanapaswa kufanya Kazi kwa kuzingatia Sheria na kanuni za utumishi wa Umma.

Hata hivyo Katibu Tawala wa Mkoa Bw.Kiseo Nzowa amewaonya madereva hao kuacha kujiingiza katika masuala ya ulevi ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

“madereva mnatakiwa kuepuka kujiingiza katika masuala ya utovu wa nidhamu hasa katika swala la ulevi pia dereva unatakiwa kutunza siri ya kiongozi wako huna sababu ya kuyatoa nnje ili kulinda heshima ya kiongozi”  

Kwa upande wake Naibu  Katibu Mkuu  wa Chama  Cha  Madereva wa serikali Tanzania Ndg.Venus Wanyangi ameishuru Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kutatua changamoto mbalimbali za chama hicho na hata zingine ambazo   zinaendelea kufanyiwa kazi.

Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA MKOPO WA SERIKALI

    June 29, 2025
  • WEKEZENI KWENYE MIRADI KUONGEZA AJIRA

    June 29, 2025
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa