• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Mhe. Majaliwa :Msifanye Makosa

Posted on: September 6th, 2020

Wananchi wilayani Moshi wametakiwa kutumia vema haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi watakaoshirikiana vema na serikali katika kuwaletea maendeleo.

Akihutubia katika mikutano ya kampeni katika viwanja vya Kibosho kirima wilayani Moshi na Majengo katika manispaa ya Moshi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Mhe. Kassim Majaliwa amewataka wananchi wilayani Moshi kuhakikisha wanachagua viongozi watakaoshiriki kwa ukamilifu vikao vyote vya kufanya maamuzi ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Mhe. Majaliwa amewaambia wananchi hao kuwa hawatajuta endapo watachagua viongozi ambao hawatatoka kwenye mikutano ya bunge na halmashauri   hususan katika vipindi vya kujadili na kupitisha bajeti za maendeleo yao.

Mhe. Majaliwa ameeleza kuwa matatizo na kero za wananchi wa wilaya ya Moshi amezijua kupitia taarifa anazozipata kupita wakurugenzi wa halmashauri lakini wabunge wa majimbo hayo wamekuwa hawafikishi kero na mahitaji yao kwa viongozi wakubwa wa serikali na wanapotakiwa  kufikisha matatizo hayo kupitia vikao vya bunge wamekuwa wakisusia na kutoka kwenye kumbi za mikutano.

Aihha Mhe Majaliwa ameataka wananchi kuhakikisha wanapigia kura wagombea wote wa Chama cha mapinduzi ili iwe rahisi kuwatumikia ."Wapigieni  kura wagombea wa ubunge wa CCM, wapigieni kura wagombea wa udiwani wa CCM na mumpigie kura Mhe. John Magufuli  ili mpate viongozi watakaoshirikiana kikamilifu ili kwaletea maendeleo".

Waziri Mkuu Majaliwa amefanya mikutano ya Kampeni katika kata ya Kirima wilayani Moshi na kumuombea kura ProfesaPatrick  Ndakidemi wa Jimbo la Moshi vijijini kupitia CCM na Priscuss Tarimo mgombea ubunge  wa jimbo la Moshi mjini kupitia CCM.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA MKOPO WA SERIKALI

    June 29, 2025
  • WEKEZENI KWENYE MIRADI KUONGEZA AJIRA

    June 29, 2025
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa