• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Utawala na Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
      • Trade and Investment
      • Administration and Human Resource Department
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Kitengo cha Sheria
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ukaguzi wa Ndani
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

MITANDAO YA KIJAMII ISPOTEZE MUDA

Posted on: July 10th, 2017

Watumishi wa serikali katika mkoani Kilimanjaro wametakiwa kutumia vizuri simu za mkononi na mitandao ya kijamii ili isiwe chanzo cha kupoteza muda wa kuwatumikia wananchi.

Akizungumza na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Siha, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Anna Mghwira amewataka watumishi kutopoteza muda kwa kutumia simu za mkononi kufanya shughuli na mawasiliano binafsi ambazo hazina uhusianona kazi.

Aidha  Mhe. Mghwira amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kuzingatia utu na maslahi ya umma huku  kila mtumishi  mmoja akitakiwa kutambua na kuzingatia umuhimu wa mtumishi mwinginie.

Kuhusu matumizi sahihi  ya mali za umma Mhe. Mghwira mewataka watumishi hao kufanyakazi kwa uaminifu na uadilifu.

Mhe. Mghwira amewakumbusha watumishi kufanya kazi kwa kujali afya zao ikiwa ni pamoja na kupanga vizuri ratiba zao za kazi ili  kuwa na muda wa kupumzika  baada ya saa za kazi.

Kuhusu huduma za afya Mhe. Mghwira amewataka watumishi wa umma na viongozi kuwahamasisha wananchi kujiunga na mfuko wa Bima ya Afya  ya Jamii (CHF).

Kwa upande wake mwenyekiti wa halmashauri ya Siha Mhe.Frank Tarimo amemuhakikishia Mhe. Mkuu wa Mkoa kuwa wataendelea kuweka mikakati endelevu ili kuhakikisha kuwa wananchi wengi katika wilaya hiyo wanakuwa na kadi za Bima ya Afya ya Jamii iliyoboreshwa.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • ZOEZI LA KUBORESHA TAARIFA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA MEI 16 HADI MEI 22 2025 KILIMANJARO May 15, 2025
  • MRADI WA BOOST April 01, 2023
  • Angalia Zote

Habari

  • VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZA MKOPO WA SERIKALI

    June 29, 2025
  • WEKEZENI KWENYE MIRADI KUONGEZA AJIRA

    June 29, 2025
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE KITAIFA AWEKA JIWE LA MSINGI SOKO JIPYA LA MBUYUNI, MOSHI

    June 28, 2025
  • MWENGE WA UHURU UTAZINDUA, KUWEKA MAWE YA MSINGI NA KUTEMBELEWA MIRADI 52 YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 84

    June 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

Kujisajili kwenye mfumo wa NeST - Hatua ya Awali
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Watumishi Portal

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)
  • Mfumo wa Kutuma, Kupokea na Kufuatilia malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    17 Barabara ya Florida

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: +255 (027) 2754236/7

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa