• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Dkt.Mgwhira Asisitiza Mikopo kwa Vijana,Wanawake na Walemavu

Posted on: February 14th, 2020

Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za mkoa wa Kilimanjaro wamesisitizwa kuhakikisha kuwa wanatenga na kutekeleza  bajeti  za utoaji wa mikopo kwa  vikundi vya wananawake, vijana na watu wenye ulemavu katika bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021.

Akiongoza mjadala wa makadirio ya bajeti ya mkoa wa kilimanjaro kwa mwaka wa fedha wa 2020/21 kwenye kiao cha arobaini na moja cha kamati ya ushauri ya mkooa RCC, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Anna Mghwira amezitaka halmashauri kuhakikisha kuwa kila halmashauri itenge kwenye bajeti na  kuhakikisha  fedha hizo  zinafika kwaye makundi.

Aidha amewaelekeza Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanavisaidia vikundi vyote vyenye utayari wa kupatiwa mikopo ikiwa ni pamoja na kuwa tayari kuwasikiliza na kuwapa miongozo ya kuifikia huduma hiyo.

Naye Mkuu wa wiyala ya Mwanga Mhe. Thomas Apson amiekieleza kikao hicho kuwa miongoni mwa changamoto wa nazokutana nazo ni pamoja na kuaminiana miongoni mwa wanavikundi vya watu wenye ulemavu hususan katika usimamizi wa fedha.

Naye katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Khatib Kazungu amewataka wakurugenzi watendaji wa halmashauri kupitia kwa umakini yaliyomo kwenye viamabatanisho vya bajeti zao ili kuhakikisha zinakuwa sahihi na zenyeauhalisia ili kuepuka kuwa na bajeti zinazotekelezeka.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • Angalia Zote

Habari

  • MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA

    April 01, 2021
  • Viongozi Watakiwa Kusimamia Kilimo cha Kisasa

    March 05, 2021
  • Waziri Aweso Avunja Mkataba na Mkandarasi wa Mradi Mkubwa wa Maji

    December 25, 2020
  • Serikali Yarudisha Mali za Ushirika

    November 12, 2020
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Manispaa ya Moshi
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa