Posted on: July 3rd, 2025
Zaidi ya wananchi 7,000 kutoka vijiji sita vikiwemo Gararagua na Kideco wilayani Siha wanatarajiwa kunufaika na huduma ya maji safi na salama kupitia mradi mkubwa wa skimu ya maji Lewate -...
Posted on: July 2nd, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Bw. Ismail Ali Ussi amesema Serikali kupitia Wizara ya afya imeendelea kuboresha mazingira rafiki kwa watumishi wa afya lengo kutoa huduma bora kwa wanachi.
...
Posted on: July 2nd, 2025
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya mabasi mawili kugongana na baadaye kushika moto wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, imeongezeka na kufikia 42, kutoka 39 vilivyoripotiwa awali.
...