MKOA WA KILIMANJARO
Dira na Dhima ya Sekretarieti ya
Mkoa wa Kilimanjaro
DIRA
“Kuwa Mkoa Unaoongoza kwa Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii ifikapo 2021”
DHIMA
“Kuboresha Maendeleo ya Kiuchumi na Kijamii kwa Kutoa Huduma za Utawala Bora na Ushauri wa Kitaalam kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa (MSM) na Wadau Wengine”
17 Barabara ya Florida
Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi
Simu: +255 (027) 2754236/7
Mobile:
Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz / ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz
Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa