TAARIFA KWA UMMA
MKOA WA KILIMANJARO UMEPOKEA FEDHA KIASI CHA SHILINGI BILIONI 8.5 KWA AJILI YA KUTEKELEZA MRADI WA BOOST ULIOANZA APRIL 1- 30 JUNI, 2023.
MRADI HUU UTAHUSISHA:-
•UJENZI WA SHULE MPYA 9 ,
•VYUMBA VYA MADARASA 178,
•VYUMBA VYA MADARASA YA ELIMU YA AWALI 14,
•ELIMU MAALUMU VYUMBA 2,
•MATUNDU YA VYOO 129,
•JENZI WA NYUMBA 1 YA MWALIMU NA
•UKARABATI WA SHULE KONGWE
Florida Street
Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi
Simu: 027 2758248/027 2751
Mobile:
Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz
Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa