Posted on: June 22nd, 2021
Wakuu wa Wilaya katika Mkoa wa Kilimanjaro wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Utawala Bora ili waweze kufanya kazi zao bila kukiuka maadili ya uongozi.
Ra...
Posted on: June 17th, 2021
Serikali Mkoani Kilimanjaro imewataka Watendaji pamoja na Madiwani kuendelea kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu ili kukuza uchumi wa Wilaya, Mkoa na Taifa kwa ujumla.
...
Posted on: June 14th, 2021
Halmashauri yaWilaya ya Mwanga imeagizwa kutenga siku maalumu kujadili hoja 47 za Mkaguzi wa Mkuu wa Hesabu wa Nje za Mwaka 2013 hadi 2019.
Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh...