Posted on: February 25th, 2020
Halmashauri ya wilaya ya Siha imeagizwa kutumia msimu ujao wa mvua za masika kupanda miti pembezoni mwa barabara ya Sanya juu Elerai ili kutunza mazingira ya barabara hiyo.
...
Posted on: February 14th, 2020
Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri za mkoa wa Kilimanjaro wamesisitizwa kuhakikisha kuwa wanatenga na kutekeleza bajeti za utoaji wa mikopo kwa vikundi vya wananawake, vijana na wa...
Posted on: February 10th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Dkt. Anna Mghwira amelipongeza Shirika la Hifadhi za Taifa, TANAPA kwa kuwa wepesi wa kupokea maombi ya watu na mamlaka mbalimbali na kuyafanyia kazi na hatimaye kufan...