Posted on: October 17th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Kimanjaro Mhe. Anna Mghwira amezipiga marufuku halmashauri zote mkoani Kilimanjaro kuwatoza tozo yeyote wafanyabiashara ndogondogo ndani ya mkoa.
Akizungumza na wananchi na wafanyab...
Posted on: June 20th, 2019
Watumishi wa umma katika wilaya Siha wametakiwa kufanya kazi kwa kuzingatia sheria kanuni, taratibu na mipaka ya kazi ya kila mmoja wao.
Rai hiyo imetolewa na kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru mw...
Posted on: June 20th, 2019
Serikali na wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro wamepiga hatua nzuri katika kupambana na ugonjwa wa UKIMWI . Akizungumza baada ya kupokea mwenge wa uhuru Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Dkt. Anna Mghwira...