• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

Kila Mwenye Sifa Atapata Fursa ya Kupiga Kura

Posted on: October 1st, 2020

Tume ya taifa ya uchaguzi imejiandaa vizuri  kuhakikisha kuwa kila mwananchi mwenye sifa ya kupiga kura anapata fursa hiyo ili kutekeleza haki yake ya msingi.

Akizungumza mjini Moshi  kwenye kikao kilichowakutanisha wadau mbalimbali wa uchaguzi wakimemo viongozi wa dini, asasi za kiaraia, viongozi wa vituo vya redio na waandishi wa habari katika mkoa wa Kilimanjaro, Mkurugenzi  wa kitengo cha ukaguzi wa ndani wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Amos Ackim  amesema kila mtu mwenye sifa ya kupiga kura atapata fursa ya kupiga kura bila kujali hali yake.

Bw.Ackim amefafanua kuwa tume imeandaa vifaa maalum vitakavyowezesha watu wenye mahitaji maalum  hususan  walemavu  ili waweze kupiga kura ili wachague viongozi wanaowataka.

Mbali na hilo Bw. Ackim amewataka waandishi wa habari, viongozi wa dini pamoja na viongozi wa makundi mbalimbali katika jamii watoe elimu kwa jamii ili wazingitie hali za watu wenye ulemavu siku ya kupiga kura.

Amefafanua kuwa ni wajibu wa kila mtu atakayekuwepo katika kituo cha kupigia kura kuhakikisha anatoa kipaumbele kwa watu wenye ulemavu wanapokuwa kwenye foleni za kupiga kura.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 February 03, 2020
  • Angalia Zote

Habari

  • Waziri Aweso Avunja Mkataba na Mkandarasi wa Mradi Mkubwa wa Maji

    December 25, 2020
  • Serikali Yarudisha Mali za Ushirika

    November 12, 2020
  • Rais Magufuli: Viwanda Suluhisho la Ajira

    October 22, 2020
  • Rais Magufuli Asikitishwa Mradi wa Maji Kuchelewa

    October 20, 2020
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)
  • Manispaa ya Moshi
  • Mfumo wa Usambazaji Mafaili kwa njia ya Ki-Eletroniki (E-Office)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa