• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Kilimanjaro Region
Kilimanjaro Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Kilimanjaro

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhamira
    • Historia ya Mkoa
    • Viongozi wa Mkoa
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Sekretariati ya Mkoa
  • Utawala
    • Muundo wa Sekretarieti
    • Idara
      • Rasilimaliwatu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Vitengo
      • Fedha na Uhasibu
      • Teknologia ya Habari na Mawasiliano
      • Internal Audit
      • Kitengo cha Sheria
      • Procument and Supply
    • Miongozo
  • Wilaya
    • Hai
    • Moshi
    • Mwanga
    • Same
    • Rombo
    • Siha
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Wilaya ya Hai
    • Halmashauri ya Wilaya ya Moshi
    • Halmashauri ya Manispaa ya Moshi
    • Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
    • Halmashauri ya Wilaya ya Same
    • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
    • Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Viwanda
    • Uvuvi
  • Huduma Zetu
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Albam
    • Hotuba
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari

RAS Aichangia Mijongweni

Posted on: November 29th, 2019

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Hatib Kazungu ameahidi kuchangia mifuko 20 ya saruji  kwa ajili ya ujenzi wa vyoo vya walimu katika shule ya msingi mijongongweni kata ya mdnadani wilayani hai.

Akijubu kero ya wananchi waliowasisilisha kwa Mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro Mhe. Dkt. Anna Mghwira Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Hatib Kazungu amesema atahakikisha kuwa shule hiyo inakuwa na choo bora na salama.

Aidha Dkt. Kazungu amewataka wanachi wa kijiji hicho kuwa na tabia ya utayari katika kuchangia maendeleo yao kwani wanufaika wa miradi hiyo ni wananchi wenyewe.

Kuhusu kero ya barabara, Dkt. Kazungu amewahakikishia wananchi hao kuwa atashirikiana na mamalaka ya kukhudumia barabara za vijijini na mjini (TARURA) ili kuhakikisha barabara zote zinazounganisha kijiji hicho na maeneo ya kutolea huduma muhimu zinapitika katika kipindi chote cha mwaka.



Matangazo

  • Kwa Huduma Bora ya Ukumbi wa kisasa wa Mikutano, Tafadhali fika Ofisini au wasiliana nasi kwa S.L. P 3070, Moshi. au Piga simu namba 027 2758248/027 2751 April 03, 2017
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2020 mkoa wa kilimanjaro wasichana December 06, 2019
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza mkoa wa Kilimanjaro-2020 wavulana December 06, 2019
  • Wanafunzi wenye ufaulu Mzuri waliochaguliwa kujianga na shule za bweni Wasichana- 2020 December 06, 2019
  • Angalia Zote

Habari

  • RAS Aichangia Mijongweni

    November 29, 2019
  • Watakiwa Kuongeza Thamani Mazao

    November 29, 2019
  • SAME WATAKIWA KUBORESHA KAHAWA

    November 15, 2019
  • Dkt. Mghwira Awataka Wanawake Kuwa Majasiri

    November 07, 2019
  • Angalia Zote

Video

Tamasha la Upimaji VVU Mkoa wa Kilimanjaro
Video

Kiunganishi cha Haraka

  • Webmail
  • Malalamiko
  • Fomu ya Opras

Tovuti zinazohusiana nasi

  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Halmashauri ya Wilaya ya Siha
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Mfumo wa kuomba vibali vya kusafiri nje ya nchi (LIVE)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani

Wasiliana nasi

    Florida Street

    Anuani ya Posta: P. O. Box 3070, Moshi

    Simu: 027 2758248/027 2751

    Mobile:

    Anuani pepe: ras@kilimanjaro.go.tz/ras.kilimanjaro@tamisemi.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakiimiliki©2017 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro.Haki zote zimehifadhiwa