Posted on: July 2nd, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Bw. Ismail Ali Ussi amesema Serikali kupitia Wizara ya afya imeendelea kuboresha mazingira rafiki kwa watumishi wa afya lengo kutoa huduma bora kwa wanachi.
...
Posted on: July 2nd, 2025
Idadi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya mabasi mawili kugongana na baadaye kushika moto wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, imeongezeka na kufikia 42, kutoka 39 vilivyoripotiwa awali.
...
Posted on: July 2nd, 2025
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2025, Ndg. Ismail Ussi, ametoa wito kwa vijana wa Wilaya ya Rombo na maeneo mengine nchini kuchangamkia mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulema...